
Maziko ya mwimbaji Amina Ngaluma yaliyofanyika jana Machimbo, Mnarani jijini Dar.
Mwili wa mwimbaji Amina Ngaluma ukiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ukitokea nchini Thailand.
IKIWA ni
siku moja tangu mwili wa mwimbaji Amina Ngaluma kuzikwa huko Machimbo,
Mnarani jijini Dar, maswali mengi yameibuka kuhusu mazingira ya kifo
chake. Inadaiwa marehemu alifariki kutokana na maumivu makali ya kichwa
huku akiwa na uvimbe kichwani japo ndugu wa marehemu na mumewe wakidai
kuwa Amina hakuwahi kuwaambia kuwa anasumbuliwa na matatizo hayo!
0 comments:
Post a Comment