





Mastaa wa filamu wa Bongo Movies juzi walifurika kwenye 'kibao kata'ambayo ni shughuli ya kumuaga msanii mwenzao, Vanita Omary kilichofanyika kwenye Ukumbi wa PG Hall (zamani Asset Club) jijini Dar.
Katika shughuli hiyo mastaa walionekana
kucharuka kwa kucheza huku wengine wakiwa wamelewa chakari tofauti na
muonekano wao wawapo mitaani.
Wolper aliongoza wasanii wenzake kwenye kukata mauno na kuchangamsha shughuli nzima ambayo ilifikia tamati saa sita usiku.
0 comments:
Post a Comment