Abiria wakitoka maeneo ya Kigamboni wakishuka kutoka kwenye Feri.
Mitumbwi katika ufukwe wa Kigamboni, jijini Dar.
Ngalawa zikionekana kwa mbali. Kamera yetu imewashuhudia baadhi ya waendesha bodaboda wakiosha pikipiki zao eneo la Mtogole-Kigamboni. Moja ya kero kubwa kwa watumiaji wa barabara ya mji Mwema-Kigamboni ni hili shimo. Kamera yetu imefanikiwa kupita katika dimbwi lililopo Magogoni-Kigamboni linalosababisha upitaji wa magari kuwa mgumu.
Maji yaliyotuama mbele ya duka maeneo ya stendi ya Kigamboni.
Wamiliki wa maduka hayo wakifanya ukarabati kuzuia maji kutuama.
Jioni ni muda wa wafanyabiashara ndogondogo maeneo ya Feri, Dar
0 comments:
Post a Comment