
Funzo! Staa wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa amejifunza kutokana na makosa hivyo hawezi kuzaa tena nje ya ndoa.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Jini Kabula ambaye anabanjuka kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Ruta Maximilian Bushoke, alitiririka:
“Nilizaa na Mr Chuz (Tuesday Kihangala) nje ya ndoa lakini kwa sasa nimekoma maana siwezi kutenda dhambi kwa mara ya pili.”
0 comments:
Post a Comment