HUYU NDIYE 'SECOND BORN' WA MSANII KEISHA
STAA
wa Bongo Fleva, Khadija Shaban ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume
Jumatatu ya Mei 5 mwaka huu katika hospitali ya Mount Mkombozi iliyopo
Kinondoni jijini Dar es Salaam. GPL inamtakia heri Keisha pamoja na
mwanaye!
Keisha akipozi na mwanaye pamoja na watu waliofika kumlaki.
0 comments:
Post a Comment