MKE ACHOMA NYETI ZA MUMEWE KWA WIVU WA MAPENZI
NIBAADA YA KUMFUMANIA MUMEWE
MWANAMKE MMOJA AMBAE JINA LAKE LINAHIFADHIWA AMEMCHOMA MUMEWE SEHEMU ZA
SIRI USIKU WALIPOKUA WAMELALA,MWANAMAMA HUYU RAIA WA NCHINI ANGOLA
AMESEMA ALISHA MKANYA MARA NYINGI LAKINI AKUTAKA KUSIKIA

WANAVYOISHI WENZETU ANGOLA……!
HUU NDIO UKATILI WANAOFANYIWA WENZETU
MAMIA YA WATU WACHOMWA MOTO WENGINE WAKIMBIA MAKAZI YAO ULO ANGOLA

SIKUKUU YA KRISMAS YAMFANYA DEO FILIKUNJOMBE ( MBUNGE ) AMWAGE MACHOZI…
Mbunge wa jimbo la Ludewa na familia yake wakiwajulia
hali wagonjwa kama ilivyoutaratibu wake wa kila sikukuu kula na wagonjwa
wa zanahati na Hospitali mbalimbali jimboni mwake.
Mbunge Filikunjombe akitazama mikoni ya mtoto Diana ambayo imeungua kwa moto kushoto ni mama mzazi wa mtoto huyo
0 comments:
Post a Comment