Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard Membe akijibu
Hoja za Wabunge wakati Bunge likiwa limekaa kama kamati ya Bunge Zima
kupitia Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nnje kwa Mwaka 2014/2015jana
Kiongozi
swa Upinzani Bungeni Mhe.Freeman Mbowe akichangia hoja wakati wakati
Bunge likiwa limekaa kama kamati ya Bunge Zima kupitia Bajeti ya Wizara
ya Mambo ya Nnje kwa Mwaka 2014/2015 jana . Msemaji
wa Kambi ya upinzani kwa Wizara ya Mambo ya Nnje na Ushirikiano wa
Kimataifa Mhe.Ezekeli Wenje akitoa Hoja za kambi ya Upinzani kuhusu
maoni ya kambi ya upinzani kuhusu Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje kwa
kwa Mwaka 2014/2015. Waziri
wa Mambo ya Nnje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard Membe kulia
akijadiliana jambo na Msemaji wa Kambi ya upinzani kwa Wizara ya Mambo
ya Nnje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Ezekeli Wenje katikati kushoto
ni Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa. Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushiurikiano wa Kimataifa Kimataifa Mhe.Bernard
Membe katikati akiwa katika picha mbili tofauti na Wanachuo wa Chuo Cha
Diplomasia Kurasini cha Jijini Dar es Salaam. Picha na Deusdedit Moshi
wa Globu ya Jamii, Dodoma
0 comments:
Post a Comment