Sunday, May 25, 2014

Super Nyamwela (kushoto) na Ally Choki wakionyesha mbwembwe wakati wa shoo yao Meeda Club.

Prezidaa wa Mashujaa Musica, Chaz Baba (katikati) naye alivamia jukwaa la Extra Bongo kunogesha mambo.
Kinadada wa Extra Bongo walivyowajibika.
BENDI ya Extra Bongo 'Wazee wa Kizigo' chini ya Kamarade Ally Choki 'Mzee wa Farasi' usiku wa kuamkia leo ilifanya makamuzi ya aina yake ndani ya Ukumbi wa Meeda uliopo Sinza jijini Dar es Salaam. Katika onesho hilo wanenguaji wake wakiongozwa na Super Nyamwela waliweza kuwainua mashabiki kwa furaha baada ya kuwaonesha mavituz ya nguvu.

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe