Saturday, February 1, 2014

Kikao cha kamati ya utendaji TFF kilichokaa leo kimesimamisha utekelezaji wa mkataba wa Electronic Ticketing mara moja until further notes! haya patrick kahemele endelea kutokwa mapovu kuwapigia simu wajumbe wa kamati ya utendaji pamoja na Raisi wa TFF kama ilivyo kawaida yako watengue maamuzi....Narudia tena NO RESEARCH NO RIGHT TO COMMENT!

0 comments:

Post a Comment

Designed by Adamu Mwanakatwe